Form 3 Kiswahili – UFAHAMU NA UFUPISHO

UFAHAMU Ufahamu Ni hali ya kulijua na kulielewa jambo kwa usahihi na kuweza kulielezea kwa ufasaha bila kupoteza maana yake ya msingi  Au. Ni kujua na kuelewa...

Form 3 Kiswahili – UANDISHI WA MATANGAZO

Matangazo ni habari za kijamii katika vyombo vya habari kwa lengo la kushawishi au kutoa taarifa kwa jamii ili kununua, kuuza au kupata taarifa iliyokusudiwa kwa muhtasari....

Form 2 Kiswahili – USIMULIZI WA MATUKIO

USIMULIZI –  Ni maelezo yanayotolewa kuhusu tukio au matukio yaliyotokea ambayo yanaweza kuwa mema au mabaya AU –   Ni kitendo cha kutoa masimulizi juu ya mfululizo wa...

Form 2 Kiswahili – UUNDAJI WA MANENO

Uundaji wa maneno ni shughuli ya kuunganisha viambajengo (vipashio) mbalimbali ili kupata maneno tofauti yenye maana mbalimbali ambazo ni kamili. Kwa kuwa maendeleo ya jamii hubadilika, hukua...

Form 3 Kiswahili – MJENGO WA TUNGO

Tungo – Ni neno au maneno yanayotoa taarifa fulani ambayo yanaweza kuwa kamili au yasiwe kamili. Neno hili tungo ni nomino ambayo hutokana na kitenzi ‘tunga’ ambacho...