Form 2 Kiswahili – UFAHAMU
– Ufahamu ni ile hali ya kujua jambo na kuweza kulifafanua au kutoa taarifa zinazohusiana na habari hiyo. – Ni kipengele katika lugha ambacho humpa msikilizaji mbinu...
– Ufahamu ni ile hali ya kujua jambo na kuweza kulifafanua au kutoa taarifa zinazohusiana na habari hiyo. – Ni kipengele katika lugha ambacho humpa msikilizaji mbinu...
Uhakiki – ni kazi au kitendo cha kuchambua na kufafanua kazi ya fasihi, kuweza kupata maadili na ujumbe uliomo katika maandishi ya mwandishi asilia Au Ni sayansi...
Baada ya vita kuu ya pili ya dunia Tanganyika ilikuwa chini ya utawala wa mwingereza. Wakati wa utawala huo shughuli za utawala, kidini na biashara zilikuwapo...
Kazi za fasihi simulizi huweza kukusanywa kwa kusikiliza wasanii wakizisimulia, kuzitamba kazi hizo mfano mkusanyaji anaweza kujiunga na wachezaji hao ambao huwa wanapiga soga na kusimulia hadithi...
UTUNGAJI WA MASHAIRI – Mashairi ya kale yanajulikana kama mashairi ya kimapokeo mashairi haya hutungwa kwa kufuata kanuni zifuatazo: – – Kutokana na kanuni hizo shairi la...
Insha – Ni mfululizo wa sentensi zinazohusiana na mada inayozungumziwa au kuandikwa. Uandishi wa insha huwa katika haya. Kuna aina kuu mbili za insha (a) Insha za...
UUNDAJI WA MANENO. MANENO Kwa kawaida hakuna lugha inayojitosheleza kimawasiliano na kimantiki hivyo hakuna lugha iliyo bora kuliko nyingine. Ili lugha itosheleze mawasiliano inahitaji kuwa na msamiati...
UCHAMBUZI WA RIWAYA. Jina la kitabu: TAKADINI Mwandishi: BEN J. HENSON Wachapishaji: METHEWS BOOKSTORE AND STATIONERS Mwaka: 2004 A: UTANGULIZI Takadini ni riwaya inayoeleza maisha ya jamii...
Nomino za Kiswahili zimegawanyika katika makundi mbalimbali. Nomino zinazounda kundi moja huwa na sifa zinazofanana. Wataalamu wa isimu wamezigawa nomino au upatanisho baina ya nomino na maneno...